Kiwanja kinauzwa Mbezi Mshikamano, Dar Es Salaam (800 sqm)


Mbezi, Dar Es Salaam
3 hours ago
Sh. 65,000,000
Huduma na Sifa
Maelezo
KIWANJA SQM.800, TZS.65 MILIONI,MBEZI MSHIKAMANO.
Hapa ni umbali wa kilomita 1 tu kutoka MAGUFULI TERMINAL.
UMILIKI NI MKATABA WA MAUZIANO.
Eneo lkmejengeka na limepangika.
WAHI
________________
ANGALIZO :
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
________________mpg















