Kiwanja kinauzwa Mkundi, Nguvu Kazi, Morogoro (1741 sqm)

video thumbnail
Sh. 25,000,000

Aina

Kiwanja

Ukubwa

1741 SQM

Barabara ya Karibu

600m โ€” Morogoro - Dodoma Road

Huduma na Sifa

Umeme
Maji
Ardhi Iliyopimwa
Karibu na Shule
Karibu na Barabara

Maelezo

HIGH QUALITY STREET!!!
kiwanja kikubwa kizuri sana Kwa Familia au apartment!!
kimepimwa,
umeme upo,
maji yapo
kipo katika mtaa wa kisasa
Ni mita 600 tu kutoka lami ya morogoro -Dodoma,
kipo mkundi mtaa wa Nguvu kazi.
kimezungukwa na shule mbali mbali za private na government all levels,
kipo Barabara kubwa ya mtaa.

ukubwa ni sqm 1741

Bei million 25,
0652644084
0767932265