Kiwanja kinauzwa Tabata Kinyerezi Makofia, Dar Es Salaam (900 sqm)

 media -1
media -1
media -2
media -3
Sh. 55,000,000

Aina

Kiwanja

Ukubwa

900 SQM

Huduma na Sifa

Karibu na Stendi ya Mabasi

Maelezo

Hii kiwanja inauzwa bei milion 55, ukubwa wa eneo square meter 900 hivi, kutoka kituoni dakika chache kama dakika 2 hadi 3 hivi, eneo zuri na kubwa hivyo unaweza jenga nyumba ya makazi, apartment, n.k, Location tabata kinyerezi makofia dar es salaam

Kwa maelezo zaidi piga sim

Calls/whatsapp 0768682919 au 0653233641

Service charge tsh 50000