Kiwanja kinauzwa Tabata Segerea Mwisho, Dar Es Salaam (640 sqm)

Tabata, Ilala, Dar Es Salaam
21 days ago
Sh. 35,000,000
Aina
Kiwanja
Ukubwa
640 SQM
Barabara ya Karibu
300m
Huduma na Sifa
Hati
Karibu na Barabara ya Lami
Karibu na Barabara
Maelezo
🔥 KIWANJA KINAUZWA – TABATA SEGEREA MWISHO 🔥
📍 Location: Tabata Segerea Mwisho (Viwanja vya Benki)
🛣 Umbali: Takribani mita 300 tu kutoka barabara ya lami
🚗 Ufikiaji: Gari linafika bila shida kabisa
📐 Ukubwa: SQM 640
📄 Hati: Hati Miliki ya Wizara ya Ardhi
💰 Bei: Milioni 35 tu (Maongezi yapo kidogo kwa mteja mwenye nia)
🏡 Matumizi:
• Makazi binafsi
• Nyumba za kupangisha
• Uwekezaji wa baadaye
✨ Hii ni fursa nzuri sana kwa uwekezaji, eneo linaendelea kukua kwa kasi.
Karibu sana tajiri!
📞 Muhitaji piga: +255 688 412 890
