Kiwanja kinauzwa Tegeta Wazo, Dar Es Salaam (4500 sqm)


Wazo, Dar Es Salaam
3 hours ago
Sh. 100,000/sqm
Aina
Kiwanja
Ukubwa
4500 SQM
Huduma na Sifa
Karibu na Barabara ya Lami
Karibu na BarabaraMaelezo
Kiwanja kinauzwa. Kipo Tegeta Wazo,Mashamba ya Jeshi.
Ukubwa wa Kiwanja
Sqm 4500
Bei kinauzwa sqm 1 laki 1
Kinaangalia barabara kubwa ya mashamba ya jeshi inayowekwa lami hivi Karibuni
Gharama ya kuona ni 20,000/=
Wasiliana nami kwa
0718 809 744
0784234971
Karibuni Sana








