Viwanja vinauzwa Buyuni, Kigamboni, Dar Es Salaam


Kigamboni, Kigamboni, Dar Es Salaam
1 month ago
Sh. 18,000 per sqm
Aina
Kiwanja
Barabara ya Karibu
2km
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Karibu na Barabara
Maelezo
๐จ WATU MPO WAPIII?? ๐จ
Ramani imejaa SOLDโฆ
Na bado unafikiria? ๐
Buyuni โ Kigamboni ndio mji unaokua kwa kasi sana!
Watu wanaingia kimya kimyaโฆ nafasi zinapungua kimya kimya!
๐ Km 45 kutoka Ferry
๐ Km 2 tu kutoka barabara kuu
๐ฐ 18,000/= kwa sqm
๐ Lipa miezi 6 bila stress
๐ฅ Anza na NUSU ya malipo
Hii sio storyโฆ ni movement!
Usisubiri kuona โPROJECT CLOSEDโ ndipo uanze kuuliza bei.
