Viwanja vinauzwa Ihumwa and Iyumbu, Dodoma

video thumbnail
Sh. 15,000 per sqm

Aina

Kiwanja

Awali

Inaruhusiwa

Huduma na Sifa

Karibu na Barabara
Karibu na Shule
Karibu na Mji
Site Visit Bure

Maelezo

Karibu umiliki viwanja katika miradi yetu ya Ihumwa na Iyumbu.

MRADI WA VIWANJA IHUMWA
———
◽️ Mradi upo jirani na barabara ya mzunguko ya njia nne (Outer Ring Road)
◽️ Mradi upo km tatu na nusu kutoka Magufuli City
◽️ Umbali wa km 17 kutoka katikati ya jiji.

BEI ZA VIWANJA IHUMWA
✅ Sqm 1 bei kuanzia 15,000 hadi 30,000 kulingana na matumizi ya eneo kama ni Makazi au Biashara.

MRADI WA VIWANJA IYUMBU
———
◽️ Mradi upo jirani na Shule ya Secondary ya Dr. Samia
◽️ Mradi upo km 5 kutoka chuo cha UDOM
◽️ Km 7 mpaka katikati ya jiji

BEI ZA VIWANJA IYUMBU
✅ Kwa malipo ya Cash kwa Sqm 1 ni sh 37,000
✅ Kwa malipo ya Installment kwa Sqm 1 ni sh 40,000

‼️GHARAMA KWENDA SITE BURE‼️
☎️ 065 751 0444