Viwanja vinauzwa Kigamboni Kisarawe II, Kibaha Kwa Mathias, Kongowe, Dar Es Salaam

Kisarawe Ii, Kigamboni, Dar Es Salaam
29 days ago
Sh. 799,999
Aina
Kiwanja
Huduma na Sifa
Ardhi Tambarare
Karibu na Barabara
Maelezo
Onganisha Viwanja vitatu Upate DISCOUNT!!!!
______________________________________________
Kwa mahitaji ya Viwanja vzr na bei rahisi njoo SARAVAI REAL ESTATE tukupatie Viwanja kwa bei poa sawa na bure kwa Tsh 799,999/= tu
Ukubwa wa viwanja vyetu ni 40x30
Viwanja vyetu ni tambalale na barabara zimechongwa vzr.
Viwanja vyetu vinapatikana KIGAMBONI KISARAWE II, KIBAHA KWA MATHIAS na KONGOWE.
