Viwanja vinauzwa Kigamboni Mwasonge, Dar Es Salaam

Kigamboni, Kigamboni, Dar Es Salaam
12 days ago
Sh. 30,000 per sqm
Aina
Kiwanja
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Umeme
Karibu na Shule
nearHospital
Maelezo
KIGAMBONI MWASONGA(GOLDEN TOUCH PROJECT)
Sifa za Mradi
*km 22 kutoka ferry*
🔹Umbali wa 2KM tu kutoka barabara kuu mpaka site.
🔹Barabara nzuri na za kufikika kwa urahisi.
🔹Eneo lenye makazi ya watu tayari.
🔹Mji unaokua kwa kasi na kuongezeka kwa thamani ya ardhi kila siku.
✅ Huduma zote muhimu za kijamii zinapatikana karibu:
• 🏫 Shule
• 🏥 Vituo vya afya
• 🔌 Umeme
• 🌊 Maji safi
• 🩺 Chuo cha Afya kipo jirani na site
💰 Bei
Sqm 1 cash 25,000
Sqm 1 mkopo 30,000
☎️0743930000 -DAR-ES-SALAAM
☎️0760193333-DODOMA
