Viwanja vinauzwa Kisemvule, Pwani

video thumbnail
Sh. 2,000,000

Aina

Kiwanja

Barabara ya Karibu

4km

Awali

Inaruhusiwa

Huduma na Sifa

Umeme
Maji
Karibu na Barabara
Site Visit Bure

Maelezo

πŸ’° MILIONI 2 AU 4 TU – UNAKUWA MMILIKI WA ARDHI!

Usikose nafasi ya kuwa na kiwanja chako FORODHANI CITY – KISEMVULE, kilomita 4 tu kutoka Stendi ya Kisemvule.

🏑 Anza kwa uwekezaji wa uhakika.

βœ… Bei kuanzia Milioni 2 & Milioni 4
βœ… Malipo ya awamu hadi miezi 6 – rahisi bila presha
βœ… Hati miliki ya mtaa – umiliki halali
βœ… Umeme na maji karibu – tayari kwa ujenzi
βœ… Hakuna dalali – unanunua moja kwa moja

πŸ“ˆ Maendeleo yanaendelea kwa kasi!
Barabara zimetengenezwa vizuri na magari yanafika site bila shida πŸš—

🚐 Site visit ni BURE kila siku!
Njoo ujionee mwenyewe kabla ya kufanya maamuzi.

πŸ“ž Wasiliana nasi sasa:
πŸ“² 0692 293 581
πŸ“² 0711 378 985

⚑ Leo unanunua kwa bei nafuu, kesho thamani ya ardhi inapanda!

#ForodhaniCity
#Kisemvule
#ViwanjaBeiNafuu
#UwekezajiSalama
#NunuaKiwanja
ArdhiYako