Tafuta

Viwanja vinauzwa Mjimwema Makibugumo, Dar Es Salaam (300 sqm)

Sh. 30,000,000

Aina

Kiwanja

Residential Plot for sale in Mjimwema

Ukubwa

300 SQM

Barabara ya Karibu

1km

Huduma na Sifa

Maelezo

šŸ” MRADI MPYA WA VIWANJA – KIGAMBONI, MJIMWEMA MAKIBUGUMO šŸ”

Usikose fursa ya kumiliki kiwanja katika eneo linalokua kwa kasi la Kigamboni – Mjimwema Makibugumo.

šŸ“ Ukubwa na Bei:
āœ… Kiwanja cha SQM 300 – TZS 30,000,000
āœ… Kiwanja cha SQM 400 – TZS 35,500,000

šŸ“ Mahali:
• Kilomita 1 kutoka Barabara Kuu ya lami.
• Kilomita 7 kutoka Feri ya Kigamboni.
• Kilomita 8 kutoka Daraja la Nyerere.

šŸ’µ Malipo ni Cash.

✨ Viwanja vipo kwenye eneo zuri, salama na lenye maendeleo ya haraka. Ni fursa bora kwa makazi au uwekezaji wa muda mrefu.

🚐 Visit Site kwa TZS 30,000 tu.

šŸ“ž Wasiliana nasi:

Karibu sana uwekezaji wako uanze leo!

#trendingvideo #istagram #realestatemarket #tanzania #trendingaudio

Dalali Kigamboni mbavu

dalali__kigamboni_mbavu

@dalali__kigamboni_mbavu

View Listings
Dalali Kigamboni mbavu