Viwanja vinauzwa Nghongonha, Mhande, Dodoma

 media -1
media -1
Sh. 7,000 per sqm

Aina

Kiwanja

Barabara ya Karibu

500m — Mjini Ntyuka Ring Road Mvumi

Awali

Inaruhusiwa

Huduma na Sifa

Karibu na Barabara
Site Visit Bure
Ardhi Iliyopimwa
Accessible By Car

Maelezo

*MRADI WETU MPYA WA VIWANJA DODOMA*

_✓(MRADI WETU UNAPATIKANA UDOM NGHONGONHA MTAA WA MHANDE KARIBU KABISA NA NTYUKA)_

_✓UMBALI KUTOKA MJINI NI 12KM TU_

*✓UMBALI KUTOKA LAMI MPYA YA* *MJINI_NTYUKA_RING*
*ROAD_MVUMI NI* *METER 500 TU*

*✓SIZE YA VIWANJA*
(421,557,754,754,757,
849,852,900,914,914,
923,930,936,937,1205,
1290,1424,1498,1520,
1537,1546)SQM.

*MRADI WETU NI MPYA VIWANJA VYOTE VIPO*

*BEI 1SQM=7000*
(Chagua kiwanja hapo juu mfano 421×7000=2,947,000.
Utalipa kianzio,inayobaki unalipa ndani ya miezi 6.

*Site tunaenda mda wote boss*

✓panafikika kwa Gari, barabara,zimechongwa.

*Miliki kiwanja kirahisi kwa kulipia mdogo mdogo*

✓Ramani,picha,na maelekezo zaidi karibu inbox.

*WEKEZA SASA NA MBILINYI VIWANJA DODOMA.*