Kiwanja (Residential/Commercial) kinauzwa Kikuyu North, Dodoma (6109 sqm)

video thumbnail
Sh. 350,000,000

Aina

Kiwanja (Residential/Commercial)

Ukubwa

6109 SQM

Huduma na Sifa

Uzio
Hati
Karibu na Barabara ya Lami
Karibu na Barabara

Maelezo

KIWANJA KIKUBWA SANA (HEKA NA NUSU)KINAUZWA KINA FAIDA YA FENSI PANDE ZOTE NA NI KIWANJA CHA PILI KUTOKA KWENYE BARABARA AMBAYO INAYOPIGWA LAMI YA KUTOKEA ITEGA.
_______
MAHALI-KIKUYU NORTH(2)
_______
MATUMIZI-BIASHARA NA MAKAZI
NB:KINAFAA KUJENGA HOTEL,IYARD,LODGE,GODOWN NK.

UKUBWA WA KIWANJA-6109SQM
_______
DOCUMENT-HATI
________
BEI-350M(MAONGEZI YAPO)
________