Tafuta

Frame ya Biashara inapangishwa Dodoma Mjini

Dodoma, Dodoma
12 hours ago
Sh. 500,000/month

Maelezo

FRAME KUBWA YA BIASHARA INAPANGISHWA

Mahali:Dodoma Chako Ni Chako

Bei:500,000/=
Malipo:Miezi 12

✅Frame Ni Kubwa Sana Ipo Mjini Kati Kabisa
✅Inafaa Kwa Biashara Yoyote Panafaa Sana
✅Umeme Unajitegemea Mwenyewe
✅Frame Ipo Kwenye Mzunguko Wa Biashara Mkubwa
✅Kuhusu Usalama Ni Uhakika Asilimia Mia 💯

💰Gharama Za Kwenda Kuoneshwa Ni Tsh.15,000/=(Itadumu Mpk Utakapo Pata Frame)
💣Bila Kusahau Malipo Ya Dalali Ambayo Atalipa Mteja

Whatsapp Number/Call

0629251784

NAPATIKANA DODOMA MJINI PIGA SIMU TUFIKE SITE TAJIRI.

#fypシ゚viral #alikiba #dodoma #tanzania #chakonichako

Matangazo mengine Dodoma, Dodoma