Frame ya Biashara inapangishwa Kijitonyama, Dar Es Salaam

Maelezo
Fremu Inapangishwa Kijitonyama
📍 Kijitonyama – Tsh 400,000 kwa mwezi
✅ Eneo zuri kwa biashara
✅ Inafaa kwa duka au ofisi ndogo
✅ Mazingira mazuri na rahisi kufikika
📞 Wahi sasa, imebaki moja tu!















