Frame ya Biashara inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam
Huduma na Sifa
Maelezo
📢 FREM INAPANGISHWA – SINZA
Frem kubwa sana inapangishwa Sinza kwenye location kali na eneo zuri mno kwa biashara.
✅ Frem kubwa na yenye muonekano mzuri
✅ Ipo sehemu yenye shughuli nyingi za kibiashara
✅ Inajitegemea umeme
✅ Parking ya kutosha
✅ Inafaa kwa biashara mbalimbali, ofisi, showroom na huduma nyingine
💰 Bei: TSh 800,000/= kwa mwezi
💵 Service Charge: TSh 30,000/=
📞 Call:
Wahi kuchukua nafasi hii ya kipekee kwa biashara yako kwenye moja ya maeneo bora ya Sinza.
#FremInapangishwa #Sinza #DarEsSalaam #Biashara #ShopForRent















