Frame ya Biashara inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam


Maelezo
📢 FREM INAPANGISHWA – SINZA 📢
💰 Bei: TZS 600,000/= kwa mwezi
Unatafuta sehemu bora ya kuanzisha au kupanua biashara yako? Hii ndiyo nafasi sahihi!
✅ Frem kubwa sana
✅ Ipo eneo zuri na lenye movement kubwa ya watu
✅ Mazingira bora kwa biashara mbalimbali
✅ Karibu kukamilika kabisa – hatua ya mwisho ya finishing
✅ Fursa ya kuwahi kuchukua nafasi kabla haijachukuliwa na mwingine
💵 Service Charge: TZS 30,000/=
📞 Wahi kupiga simu sasa:
Usikose nafasi hii ya kipekee ya kufanya biashara katika eneo lenye wateja wa kutosha kila siku!















