Frame inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam

Sinza, Ubungo, Dar Es Salaam
5 days ago
Sh. 700,000 per month
Aina
Nafasi ya Biashara
Huduma na Sifa
Umeme
Luku Inajitegemea
Karibu na Barabara ya Lami
Maelezo
FRAME INAPANGISHWA – SINZA
📍 Sinza (karibu na barabara kuu)
💰 Bei: 700,000/= kwa mwezi
✔️ Inatazama lami (main road)
✔️ Inafaa kwa biashara zote (duka, saluni, ofisi, pharmacy n.k)
✔️ Sehemu yenye watu wengi – biashara inachangamka
✔️ Umeme wa kujitegemea
📌 Malipo: miezi 6 – 12
📌 Viewing: 30,000
📌 Dalali: mwezi mmoja
📞 Wahi sasa kabla haijachukuliwa!
