Frame ya Biashara inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
✨ FREM INAPANGISHWA SINZA ✨
💰 Bei: 700,000/=
Frem nzuri sana yenye muonekano wa kisasa kabisa 😍
Ipo sehemu nzuri yenye mazingira bora ya biashara na panafikika kwa urahisi sana.
✅ Inafaa kwa biashara yoyote
✅ Muonekano wa kisasa unaovutia wateja
✅ Eneo zuri la biashara
✅ Upatikanaji ni rahisi muda wowote
💵 Service Charge: 30,000/=
📞 Call: 0787093748















