Frame inauzwa Buguruni Chama, Dar Es Salaam

Buguruni, Dar Es Salaam
5 hours ago
Sh. 130,000,000
Maelezo
BANDA LINAUZWA:
Lina vyumba Sita
Na uani Lina eneo
Lipo kwenye barabara ya Mtaa
Kutoka kwenye stendi ya mwendokasi na hapo ni unahesabu nyumba tu
Ukivunja hapo unapangisha wauza mbao watakulipa sh Laki 7 kwa mwezi
Unakula Kodi kwanza Kisha baadaye unajenga kitu Cha maana
Bei ni sh Milioni 130
Location BUGURUNI CHAMA(sheli ya LAKE OIL)
0712265331 call/whatsap
Call me MR JAMBALAGA aka SENIOR


