Frame ya Biashara inapangishwa Makongo Juu, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 1,000,000 per month

Aina

Frame ya Biashara

Huduma na Sifa

Karibu na Barabara ya Lami
Karibu na Barabara
Service Charge30000

Maelezo

📢 FREM KUBWA SANA INAPANGISHWA – MAKONGO JUU

Unatafuta eneo la biashara lenye mvuto na muonekano wa kuvutia? Hii hapa nafasi yako!

🏢 Frem kubwa sana
📍 Makongo Juu – inatazama barabara ya lami (muonekano mzuri kwa biashara)
🌟 Ipo eneo zuri kabisa la kibiashara
🚀 Inafaa kwa biashara mbalimbali kama:
✔️ Pharmacy
✔️ Duka la vipuri vya magari
✔️ Barbershop
✔️ Saloon kubwa ya kike
✔️ Duka la vipodozi
✔️ Duka la jumla
✔️ Liquor store n.k

💰 Bei: 1,000,000/= kwa mwezi
💵 Service charge: 30,000/=

📞 Call: 0787093748

👉 Chukua nafasi hii ya kipekee kukuza biashara yako kwenye eneo lenye wateja wa uhakika!

Tafuta unachotaka Makongo, Kinondoni, Dar Es Salaam