Frame ya Biashara inapangishwa Mlimani City, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 800,000 per month

Aina

Frame ya Biashara

Huduma na Sifa

Luku Inajitegemea
Mita ya Maji Inajitegemea
Karibu na Barabara ya Lami
Karibu na Maduka
Umeme
Maji

Maelezo

🗣INAPANGISHWA FREM _ 📍MLIMANI CITY

Kodi 800,000/=kwa mwezi
Malipo miezi 6
💵Service Charge 30,000\=

📍Eneo MLIMANI CITY
✅Inatizama Lami
✅Umeme na maji mita yako
✅Eneo lenye mzunguko wa watu ni mkubwa
✅Inafaa kwa biashara\Ofisi Mbalimbali

Tafuta unachotaka Mlimani City, Ubungo, Dar es Salaam