Frame ya Biashara inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam

Maelezo
🔥 FREMU INAPANGISHWA – SINZA 🔥
📍 Sinza
💰 Bei: Tsh 600,000 kwa mwezi
🧾 Service Charge: Tsh 30,000
✔️ Inafaa kwa biashara (duka/ofisi)
✔️ Eneo zuri lenye wateja wengi
✔️ Karibu na barabara kuu
📞 Wasiliana sasa: 0678512666
Usikose nafasi hii ya biashara!















