Frame ya Biashara inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam

Maelezo
FREMU KUBWA SANA INAPANGISHWA – SINZA 🏢🔥
💰 Bei: 350,000/- kwa mwezi
💼 Service Charge: 30,000/-
✔️ Eneo zuri lenye biashara
✔️ Fremu kubwa inafaa kwa biashara yoyote
✔️ Inafikika kirahisi
✔️ Mazingira salama
📞 Wasiliana: 0678512666
🚨 Wahi sasa kabla haijachukuliwa!















