Frame ya Biashara inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 350,000 per month

Aina

Frame ya Biashara

Huduma na Sifa

Karibu na Soko
Karibu na Barabara
Service Charge30000

Maelezo

📍 SINZA – FRAME KUBWA SANA INAPANGISHWA

💰 Kodi: 350,000/= kwa mwezi
🗓 Malipo: Miezi 6
💵 Service charge: 30,000/=

👉 Frame ni kubwa sana, inafaa kwa biashara mbalimbali kama duka, salon, ofisi, stationery au mini market.
✅ Eneo zuri lenye mzunguko mkubwa wa watu.
✅ Mazingira salama kwa biashara.

📞 Mawasiliano: 0678512666

Wahi sasa kabla haijachukuliwa! 🚀