Frame ya Biashara inapangishwa Sinza Mapambano, Dar Es Salaam

Sinza, Ubungo, Dar Es Salaam
6 days ago
Sh. 400,000 per month
Aina
Frame ya Biashara
Huduma na Sifa
Karibu na Barabara ya Lami
Karibu na Barabara
Service Charge
Maelezo
FREM INAPANGISHWA – SINZA MAPAMBANO 🔥
Unatafuta sehemu nzuri ya biashara? Hii hapa nafasi yako!
📍 Ipo Sinza Mapambano, inatazama lami moja kwa moja
🏢 Frem nzuri kabisa yenye muonekano wa kuvutia
💼 Inafaa kwa biashara yoyote – ofisi, duka n.k.
💰 Bei: 400,000/= kwa mwezi
🧾 Service Charge: 30,000/=
Usikose nafasi hii ya kipekee katika eneo lenye mzunguko mkubwa wa watu na biashara!
📞 Call: 0787093748
