Salon inauzwa Kimara Korogwe, Dar Es Salaam



Kimara, Ubungo, Dar Es Salaam
20 hours ago
Sh. 9,000,000
Aina
Salon
Samani
Ndiyo
Huduma na Sifa
Tiles
Maelezo
💇♀️✨ SALON YA KIKE INAUZWA – KIMARA KOROGWE ✨💇♀️
Fursa adhimu kwa wajasiriamali wa urembo! Pata salon tayari kwa kazi, unaingia unaanza biashara papo hapo 💼🔥
📍 Eneo: Kimara Korogwe
💰 Bei: 9,000,000/= (9M)
🪑 Inaachiwa kila kitu kilichopo ndani – vifaa vyote vya kisasa na samani
✨ Imeandaliwa vizuri, muonekano wa kuvutia na wa kisasa
📈 Ipo sehemu yenye wateja wa uhakika na biashara inatembea vizuri
🔌 Service Charge: 30,000/=
📞 Call: 0787093748
Usikose hii opportunity ya kuanza au kupanua biashara yako ya urembo! 💖🔥
