Tafuta

Shule inauzwa Bunju A, Dar Es Salaam (1500 sqm)

 media -1
media -1
Sh. 200,000,000

Maelezo

Shule (Pre & Primary School) inauzwa ipo Bunju, A

Eneo lina sqm 1500,

Hati miliki ipo,

Shule ina madarasa matano, vyoo na uwanja wa kucheza.(Play ground).

Kuna nyumba ya vyumba vitatu ya mwalimu/Walimu.

Bei Milioni 200

Maongezi yapo

Wasiliana nami
0784 234 971
0718809744