Tafuta
-
-

Shamba linauzwa Mkata, Tanga (30 acre)

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
Sh. 80,000,000

Aina

Shamba

Farm for sale in Mkata

Ukubwa

30 ACRE

Barabara ya Karibu

2km

Huduma na Sifa

Maelezo

SHAMBA LA EKARI 30 LINAUZWA MKATA
_____
Location kijiji cha pozo mkata
_____
Lipo umbali wa kilometa 2 kutoka kijijini
_____
Shamba limepandwa mkonge ekari 25
_____
Ekari 10 zipo tayari kwa kuvunwa na ekari 15 zitakua tayari kwa kuvunwa mwishoni mwa mwaka huu
_____
Na ekari 5 hazijapandwa lakini tayari zimeshasafiswa
_____
Zote kwa pamoja zinauzwa Tsh 80,000,000 milion themanini
_____
Barabara ipo hadi shamba
_____
Service charge 30,000 /=
_____
CALL AND WHATSAPP +255713928950

Follow dalali_bagamoyo na bagamoyoproperty
#dalali_bagamoyo
#bagamoyoproperty
#realestatetanzania