Shamba linauzwa Mvomero, Morogoro (100 acre)
Mvomero, Morogoro
3 days ago
Sh. 17,000,000/acre
Huduma na Sifa
Maelezo
Habari wadau shamba linauzwa zipo ekari 100 zinauzwa milioni 17 shamba lipo mkoa wa morogoro wilayani mvomero kijiji mkata barabara kuu ya iringa road au barabara ya mikumi kijiji mkata kipo kilometa 50 kutoka morogoro mjini shamba lipo kilometa 5 kutoka barabara kubwa halijasafishwa shamba hili linaanzia kwenye barabara ya mtaa aridhi nyekundu shamba hili Lina document za serekali kijiji na Hali mgogoro wowote shamba lipo wazi biashara NI wazi kabisa shamba hili lote tambalale halina bonde wala mlima shamba halina chanzo cha maji ukichimba maji yapo linafaa Kwa kilimo na ufugaji lipo kilometa 2 kutoka kwenye mkazi ya watu bei milioni 17 ekari zote 100 Kwa mawasiliano zaidi piga
