Shamba linauzwa Mwarusembe Mkuranga, Pwani (7 acre)

Mkuranga, Pwani
7 hours ago
Sh. 58,000,000
Huduma na Sifa
Karibu na Ziwa
Karibu na Barabara ya Lami
Maelezo
Shamba heka 7 zimepakana na ziwa manzi mkuranga for sale
Km 1.5 kutoka BARABARA YA LAMI
Zinapatikana MWARUSEMBE MKURANGA
Distance kutoka dar KM 45
Zinafaa kujenga bnb, hotel, nyumba ya kuishi
Zinauwa Mil 58 na zinauzwa zote
Document: serikali ya mtaa





