Tafuta

Shamba linauzwa Nakakongo Mtyangimbole, Ruvuma (20 acre)

Sh. 250,000/acre

Aina

Shamba

Farm for sale in Mtyangimbole

Ukubwa

20 ACRE

Barabara ya Karibu

15km — Njombe Road

Maelezo

SHAMBA LILILOSAFISHWA LINAUZWA

Location, Nakakongo Mtyangimbole Songea

Shamba lipo eneo nzuri sana na lenye rutuba ya kuzalisha mazao.

Shamba hili limeanzia barabarani mbaka mtoni ambapo mtoni kuna mto usiokauka mwaka mzima

Mazao ambayo yanaweza zalishwa hapa ni kama vile mahindi, maharage, mbaazi, viazi vitamu, tumbaku pia mazao ya mbogamboga kama vile nyanya, vitungu, hoho, karoti, pilipili, bamia nk

Shamba lipo tambalale na linalimika hata kwa trecta pia unaweka fanya hata kilimo cha ufugaji

Ukubwa wake ni hekari 20 za pamoja

Umbali kutoka lami ya Njombe Road ni km 15 tu na barabara inapitika mwaka mzima hata kwa gari ndogo.

Documents, Zipo na Anauza mmiliki halali hakuna MGOGOLO WOWOTE ULE

Bei ni 250000 kwa ekari moja 70×70

Maongezi yapo tutafanyia shambani

Kwenda shamba 30000

Kwa maelezo zaidi gusa link hiyo chini👇
https://wa.link/8irs4n

CALL& WHATSAPP 0682975711

SAVE DALALI SMART SONGEA 🤳