Tafuta

Shamba linauzwa Zanka, Dodoma (14 acre)

ID: 260906JQRXM
 media -1
media -1
Zanka, Dodoma
4 hours ago
Sh. 2,600,000/acre

Maelezo

🌾 SHAMBA ZURI SANA LINAUZWA – ZANKA, DODOMA 🌾

📍 Eneo: Zanka
📐 Ukubwa: Hekta 14
💰 Bei 2.6 kwa heka

Shamba hili ni zuri sana na linafaa kwa shughuli mbalimbali, hasa:
🐄 Ufugaji
🌱 Kilimo

Eneo tayari lina shughuli za kilimo na ufugaji, na majirani wamechimba visima na wanafanya kilimo pamoja na ufugaji, jambo linaloonyesha kuwa eneo lina mazingira mazuri kwa shughuli hizi.

🔥 Fursa nzuri kwa mwekezaji anayetafuta shamba kubwa lenye potential!

Karibuni sana kwa maelezo zaidi.
Asanteni sana.

Dalali Mayele Dodoma / Muuza Viwanja Dodoma / Real Estate Broker

dalali_mayele_dodoma

@dalali_mayele_dodoma

View Listings

Matangazo mengine Zanka, Dodoma

Shamba linauzwa Zanka, Dodoma acre 14
1

Sh. 2,600,000/acre

For Sale14 acre
Zanka, Dodoma
Shamba linauzwa Zanka, Dodoma (14 acre)
1

Sh. 2,500,000/acre

For Sale14 acre
Zanka, Dodoma
Shamba linauzwa Zanka, Dodoma (14 acre)
1

Sh. 2,500,000/acre

For Sale14 acre
Zanka, Dodoma
Shamba linauzwa Zanka, Dodoma (14 acre)
1

Sh. 2,500,000/acre

For Sale14 acre
Zanka, Dodoma
Shamba linauzwa Zanka, Dodoma (11 acre)
1

Sh. 1,000,000/acre

For Sale11 acre
Zanka, Dodoma
Dalali Mayele Dodoma / Muuza Viwanja Dodoma / Real Estate Broker