Duka linapangishwa Magomeni, Dar Es Salaam

Magomeni, Kinondoni, Dar Es Salaam
6 days ago
Sh. 400,000 per month
Aina
Duka
Maelezo
FREMU INAPANGISHWA – MAGOMENI 🏠
Unatafuta fremu kwa ajili ya biashara
Fursa hii hapa 👇
📍 Magomeni
💰 Tsh 400,000 kwa mwezi
Eneo zuri, linafikika kwa urahisi na linafaa kwa biashara mbalimbali.
📞 Wahi kuwasiliana sasa kabla haijachukuliwa!
0788 875 810
Wasap: 0774 387130
