Duka linapangishwa Sinza, Dar Es Salaam


Maelezo
๐ฅ FREM INAPANGISHWA โ SINZA ๐ฅ
Unatafuta frem ya bei nafuu kwenye eneo zuri la biashara? Hii hapa nafasi yako!
โ
Bei: TZS 500,000/= kwa 300,000/= kwa mwezi
โ
Frem nzuri na yenye muonekano mzuri
โ
Eneo zuri na lenye shughuli nyingi za biashara
โ
Inafaa kwa biashara yoyote
โ
Mazingira mazuri kwa ukuaji wa biashara yako
๐ฐ Service Charge: TZS 30,000/=
๐ Call: 0787093748
Usichelewe! Wahi kuwasiliana nasi na ujihakikishie nafasi hii kabla haijachukuliwa.















