Tafuta

Viwanja vinauzwa Dar Es Salaam

video thumbnail
Dar Es Salaam
11 days ago
Sh. 10,000/sqm

Maelezo

⚠️ KAMA UNAOGOPA KUTAPELIWA KWENYE UNUNUZI WA KIWANJA, SOMA HII KWANZA!

"Mteja mwenye akili hanunui kwa kuamini maneno... ananunua kwa kuona ukweli."

Kama bado una wasiwasi, usinunue kwa maneno matupu... hakikisha unaona kila kitu kwa macho yako mwenyewe.

✅ Tunakupeleka SITE kuona eneo halisi kabla ya kufanya maamuzi. ✅ Tuna OFISI rasmi Mwananyamala Komakoma, Jannat Plaza Floor 1. ✅ Tunatoa MIKATABA ya mauzo kwa usalama wako. ✅ Viwanja vyetu vimepimwa na vina nyaraka zinazotambulika. ✅ Timu yetu ipo tayari kukuhudumia hatua kwa hatua mpaka umiliki kiwanja chako.

🏡 Kwa Site To Site Real Estate, uwazi ndio msingi wa biashara yetu. Karibu ujionee mwenyewe kwa nini wateja wengi wanaendelea kutuamini kila siku.

🏡 MIRADI YETU INAYOPATIKANA

📍 Kigamboni Kimbiji 💰 20,000/sqm Cash 💰 25,000/sqm Installment

📍 Buyuni 💰 10,000/sqm Cash 💰 12,000/sqm Installment

📍 Puna 💰 10,000/sqm Cash 💰 12,000/sqm Installment

📍 Beach Plot 💰 40,000/sqm Cash 💰 45,000/sqm Installment

✨ Maeneo yanafaa kwa makazi na uwekezaji. ✨ Barabara zinapatikana. ✨ Umeme na huduma za kijamii zipo karibu. ✨ Fursa nzuri ya kujenga nyumba, apartments, biashara na miradi mingine ya maendeleo.

📍 Ofisi: Mwananyamala Komakoma, Jannat Plaza Floor 1 📞 0620 808 115

SITE TO SITE REAL ESTATE "Tunakupeleka Site, Tunakupa Uhakika.
" #SiteToSiteRealEstate #ViwanjaDarEsSalaam #KigamboniKimbiji #Buyuni #Puna BeachPlot UwekezajiWaArdhi ViwanjaVimepimwa RealEstateTanzania"

Matangazo yanayofanana Dar Es Salaam

Kiwanja kinauzwa Goba Muungano, Dar Es Salaam (800 sqm)

Sh. 77,000,000

For Sale800 sqmNegotiable
  • Site Visit Bure

Kiwanja kinauzwa Kimara Temboni, Dar Es Salaam (900 sqm)

Sh. 25,000,000

For Sale900 sqmNegotiable
  • Maji

  • Umeme

  • Karibu na Barabara ya Lami

Viwanja vinauzwa Kibugumo, Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 13,000,000

For Sale
  • Karibu na Barabara

Viwanja vinauzwa Kibamba Shule Hondogo, Dar Es Salaam (400 sqm)

Sh. 25,000,000

For Sale400 sqm
  • Karibu na Barabara ya Lami

  • Karibu na Barabara

  • Site Visit Bure

Kiwanja kinauzwa Kimara Koner, Dar Es Salaam (400 sqm)

Sh. 95,000,000

For Sale400 sqmNegotiable
  • Karibu na Barabara

Kiwanja kinauzwa Kimara Koner, Dar Es Salaam (400 sqm)

Sh. 95,000,000

For Sale400 sqmNegotiable
  • Karibu na Barabara

Kiwanja kinauzwa Makumbusho, Dar Es Salaam (360 sqm)

Sh. 420,000,000

For Sale360 sqmNegotiable
  • Karibu na Barabara ya Lami

  • Karibu na Barabara

Kiwanja kinauzwa Mbezi Kwa Msuguri, Dar Es Salaam (400 sqm)

Sh. 25,000/day

For Sale400 sqmdaily
  • Karibu na Barabara

  • Site Visit Bure

Viwanja vinauzwa Kigamboni Mwasonga, Dar Es Salaam (372 sqm)

Sh. 6,700,000

For Sale372 sqmInstallment
  • Ardhi Iliyopimwa

  • Hati

  • Karibu na Shule

Kiwanja kinauzwa Madale Kwa Kawawa Mnarani, Dar Es Salaam (500 sqm)

Sh. 38,000,000

For Sale500 sqmNegotiable
  • Uzio

  • Site Visit Bure

Viwanja vinauzwa Goba Njia Nne, Dar Es Salaam (400 sqm)

Sh. 38,000,000

For Sale400 sqm
  • Ardhi Iliyopimwa

  • Karibu na Barabara ya Lami

Viwanja vinauzwa Kibamba Shule Hondogo, Dar Es Salaam (400 sqm)

Sh. 25,000,000

For Sale400 sqm
  • Karibu na Barabara ya Lami

  • Karibu na Barabara

  • Site Visit Bure

Viwanja vinauzwa Kigamboni Mwasonga, Dar Es Salaam (372 sqm)

Sh. 18,000/sqm

For Sale372 sqmInstallment
  • Hati

  • Ardhi Iliyopimwa

  • Karibu na Shule

Kiwanja kinauzwa Kimara Koner, Dar Es Salaam (400 sqm)

Sh. 95,000,000

For Sale400 sqmNegotiable
  • Karibu na Barabara

Kiwanja kinauzwa Bonyokwa Mwisho, Dar Es Salaam (560 sqm)

Sh. 30,000,000

For Sale560 sqmNegotiable
  • Maji

  • Umeme

  • Site Visit Bure