Viwanja vinauzwa Goba Kwa Robert, Dar Es Salaam

Aina
Kiwanja
Barabara ya Karibu
2km — Goba Road
Huduma na Sifa
Maelezo
VIWANJA VIZURI KWA AJILI YA MAKAZI VINAUZWA - GOBA KWA ROBERT.
VIPO VIWANJA VYENYE UKUBWA TOFAUTI KAMA IFUATAVYO -:
- Sqm 600
- Sqm 500
- Sqm 400
BEI MILIONI = 35,000,000 TZS.
-----------
- VIWANJA VIPO MAENEO MAZURI YANAYOENDEA KWA KASI KIMAKAZI.
- BARABARA INAFIKIKA VIZURI MPAKA KWENYE VIWANJA.
- HUDUMA ZA JAMII ZIPO JIRANI IKIWAPO UMEME PAMOJA NA MAJI DAWASA.
LOCATION -: GOBA KWA ROBERT BARABARA IENDAYO "TEGETA "A " UMBALI KM 2 KUTOKA BARABARA YA LAMI ( GOBA ROAD )
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI















