Viwanja vinauzwa Kibaha Kwa Mathias Msangani, Pwani sqm 400

Ukubwa
400 SQM
Huduma na Sifa
Maelezo
🚨 OFFA OFFA OFFAAA.....USIKUBALI HII IKUPITE 🚨
🏡 Viwanja vinauzwa kwa bei nafuu mno!, Bei ya offa kwa viwanja vichache vilivyobakia
📍 Location: Kibaha kwa Mathias Msangani – Mtaa wa Madina, Mkoa wa Pwani.
✅ Eneo zuri na salama.
✅ Barabara nzuri, lami ipo.
✅ Shule ipo umbali wa takribani mita 500 tu.
✅ Umeme upo site.
✅ Maji yanapatikana kwenye nyumba za jirani.
✅ Huduma zote muhimu zinapatikana na eneo linafikika muda wote.
💥 Bei maalum ya offa
📐 SQM 400 (20×20) – Tsh 2,500,000 tu
📐 SQM 300 (15×20) – Tsh 1,800,000 tu
⚠️ Viwanja vimabaki vichache sana, lakini wahitaji ni wengi!
Ukichelewa leo, unaweza kukosa nafasi hii.
#viwanjavilivyopimwa #viwanjapwani #kibahakwamatias















