Tafuta

Viwanja vinauzwa Kigamboni Buyuni, Dar Es Salaam sqm 616

video thumbnail
Sh. 6,160,000

Ukubwa

616 SQM

Barabara ya Karibu

2.5km

Maelezo

MRADI WA KIGAMBONI BUYUNI

Fursa adimu ya kumiliki kiwanja katika moja ya maeneo yanayokua kwa kasi ndani ya Kigamboni!

✅ Ukubwa: SQM 616
✅ Bei ya Cash: Tsh 6,160,000
✅ Kiwanja kimebaki kimoja tu

Faida za eneo:

🏖️ Umbali wa KM 2.5 kutoka ufukwe wa bahari
🛣️ Umbali wa KM 2.5 kutoka barabara kuu
📍 KM 40 kutoka Kigamboni Ferry
🚗 Barabara zinapatikana na eneo linafikika kwa urahisi
📈 Eneo linaendelea kuongezeka thamani kila siku kutokana na maendeleo yanayoendelea Kigamboni

Ikiwa unatafuta kiwanja kwa ajili ya kujenga makazi, kuhifadhi thamani ya fedha zako au kuwekeza kwa ajili ya faida ya baadaye, hii ni nafasi ambayo hutaki kuikosa. Kwa bei hii na eneo hili, kiwanja hiki kinaweza kuuzwa wakati wowote.

Usisubiri kesho wakati unaweza kumiliki leo. Kiwanja kimebaki kimoja tu!

#KigamboniBuyuni #OasisRealEstate #KiwanjaKinauzwa #LandInvestment #Kigamboni ArdhiYakoUrithiWako InvestEarly HatiNiUhakika RealEstateTanzania Buyuni

Matangazo yanayofanana Kigamboni, Dar Es Salaam

Viwanja vinauzwa Kigamboni Mwasonga, Dar Es Salaam

Sh. 18,000/sqm

For SaleInstallment
  • Umeme

  • Karibu na Shule

  • Karibu na Soko

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam sqm 600

Sh. 33,000,000

For Sale600 sqm
  • Karibu na Barabara ya Lami

  • Site Visit Bure

Kiwanja kinauzwa Kibugumo, Kigamboni, Dar Es Salaam sqm 450

Sh. 38,000,000

For Sale450 sqmNegotiable
  • Maji

  • Umeme

  • Karibu na Barabara

Kiwanja kinauzwa Kigamboni Muhimbili 2, Dar Es Salaam acre 5

Sh. 60,000,000/acre

For Sale5 acre
  • Hati

  • Karibu na Barabara ya Lami

  • Karibu na Barabara

Kiwanja kinauzwa Kigamboni Muhimbili 2, Dar Es Salaam acre 5

Sh. 60,000,000/acre

For Sale5 acre
  • Hati

  • Karibu na Barabara ya Lami

Kiwanja kinauzwa Kigamboni Geza, Dar Es Salaam sqm 1335

Sh. 140,000,000

For Sale1,335 sqm
  • Hati

  • Karibu na Barabara

Kiwanja kinauzwa Kigamboni Dege, Dar Es Salaam sqm 500

Sh. 12,000,000

For Sale500 sqmNegotiable
    Viwanja vinauzwa Mgongozo, Kigamboni, Dar Es Salaam

    Sh. 35,000/sqm

    For Sale
    • Karibu na Barabara ya Lami

    • Ardhi Iliyopimwa

    • Hati

    Viwanja vinauzwa Mgongozo, Kigamboni, Dar Es Salaam

    Sh. 35,000/sqm

    For Sale
    • Ardhi Iliyopimwa

    • Karibu na Barabara ya Lami

    • Karibu na Barabara

    Beach Plots zinazouzwa Kigamboni Gezaulole, Dar Es Salaam

    Sh. 150,000/sqm

    For Sale
    • Hati

    • Karibu na Bichi

    Viwanja vinauzwa Mwasonga, Kigamboni, Dar Es Salaam

    Sh. 15,000/sqm

    For SaleInstallment
    • Ardhi Iliyopimwa

    • Umeme

    • Karibu na Shule

    Kiwanja kinauzwa Kibugumo, Kigamboni, Dar Es Salaam sqm 400

    Sh. 15,500,000

    For Sale400 sqm
    • Karibu na Barabara ya Lami