Tafuta

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 30,000/sqm

Maelezo

๐ŸŸขHATI KWETU NI LAZIMA๐Ÿ“œโœจ
Usinunue kiwanja kwa maneno matamu pekeeโ€ฆ hakikisha unapata umiliki halali wenye usalama wa kweli.
Kwenye Trust Solution tunakuunganisha na ardhi salama, yenye nyaraka sahihi, bei rafiki na malipo rahisi yanayokufaa wewe. ๐Ÿก๐Ÿ’š
Leo unaanza kidogoโ€ฆ kesho unajivunia uwekezaji mkubwa.
Usisubiri mpaka bei zipande ndipo ukumbuke umuhimu wa kumiliki ardhi.
๐Ÿ“Anza sasa usichukulie powa, faidika milele.
๐Ÿ“œ Hati salama
โœ… Maeneo mazuri
โœ… Huduma ya uhakika
โœ… Uwekezaji wa muda mrefu

MIRADI
๐Ÿ“ŒKimbiji kwa Chale
๐Ÿ“ Mita 200 tu kutoka barabara kuu
๐ŸŒŠ Mita 600 kutoka baharini
๐Ÿ’ฐ Bei ni sh 30,000 kwa sqm
โœ… Anza na down payment ya 20% tu
๐Ÿ“† Lipa kidogo kidogo hadi miezi 18
๐Ÿ“ BUYUNI (MTI MWEUPE), Kigamboni โ€“ Dar es Salaam
โœ” Km 2 kutoka Baharini
โœ” Km 1 kutoka Barabara kuu
๐Ÿ’ฐ Bei Maalum:
โ€ข Tsh 17,000 kwa mita ya mraba (Cash)
โ€ข Tsh 19,000 kwa mita ya mraba (Installment)
โœ” Malipo kwa awamu hadi miezi 24
๐Ÿ“Tunapatikana makumbusho jengo la Dermoplaza floor ya 11 ๐Ÿ“žWasiliananasi +255 748 303 601
Trust Solution Company Ltd โ€” Tunathamini ndoto zako za kumiliki ardhi salama. ๐Ÿ’ซ #MilikiSasa #KigamboniBuyuni #ViwanjaKimbiji #PlotsForSale #SmartInvestment HatiMiliki