Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1

Maelezo

๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅMRADI WA VIWANJA KIGAMBONI VUMILIA UKOONI -MWEMBEMDOGO๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

๐Ÿ‘‰๐ŸฝViwanja vimepimwa na vina MAWE yanayotambulika na wizara ya ardhi

๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ2 Km toka Barabara kubwa ya mwembemdogo iliyo chini ya Tarura iliyo kwenye mpango wa Lami.

๐Ÿ‘‰๐ŸฝGood neighbourhood (majirani watu wa bandari TPA), kiufupi ni mji wa kishua.

๐Ÿ‘‰๐ŸฝKaribu na Chuo cha Afya Kigamboni (City College of Health)

๐Ÿ‘‰๐ŸฝKaribu na Shule ya Sekondari Ihsan

๐Ÿ‘‰๐ŸฝHuduma za kijamii zipo,uzuri ni kwamba hapa ukichimba kisima maji ni ya baridiiiiiiiiiii hakuna chumvi kabisa.

๐Ÿ‘‰๐ŸฝBei elekezi hapa tumesusa kwa Sqm ;-
Malipo ya cash: 18,000/=
Malipo ya installment : 20,000/=

๐Ÿ‘‰๐ŸฝUkubwa kuanzia 400 SQM

๐Ÿ‘‰๐ŸฝSite visit ni bureeee kabisa na ni kila siku .

๐Ÿ‘‰๐ŸฝUzuri ni kwamba kwetu sisi Hatimiliki ni uhakika na kwa haraka.

TUNAPATIKANA MWENGE-BAMAGA JENGO LA DORA TOWER 4th FLOOR

AU TUPIGIE KWA NAMBA 0768579000