Viwanja vinauzwa Kisemvule, Pwani (185.8 sqm)

video thumbnail
Sh. 1,600,000 per month

Aina

Kiwanja

Ukubwa

185.8 SQM

Barabara ya Karibu

2.5km

Awali

Inaruhusiwa

Huduma na Sifa

Maji
Umeme
Site Visit Bure
Karibu na Barabara

Maelezo

VIWANJA KISEMVULE( NJIA PANDA YA KIBAMBA BEI NAFUU MNO)

Kisemvule ipo mbele ya mbagala, mkoa wa pwani

Viwanja vipo km 2.5 kutoka lami

Gharama ya usafiri kutoka stendi ya kisemvule hadi site ni TSH 1000 tu

Ukubwa wa kiwanja ni Ft 50x40 bei inaanzia tsh 1,600,000 tu

Unaweza kulipa kidogo kidoog anza na mil 1 tu iliyobaki utalipa miezi 3

Umeme na maji vyote vimefika site

Kutembelea site ni siku zote za wiki hakuna gharama

Ofisi zetu zipo KISEMVULE

Piga simu/ whatsapp 0785367831