Viwanja vinauzwa Madale, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 48,800,000

Maelezo

MKEKA WA MADALE MWISHO! VIWANJA VIMENYOOKA! 🔥

Je, unatafuta kiwanja kilichotulia na chenye thamani inayokua kila siku? Hii hapa ni fursa yako!

📍 Location: Madale Mwisho (Mita 200 tu kutoka barabara mpya ya lami!)

📏 Umbali: 1.5km kutoka Madale Mwisho.

✅ Huduma: Maji na Umeme vipo site.

✅ Hali ya Kiwanja: Level kabisa

Size (SQM) Price (Tanzanian Shillings)

575 SQM 48.8 Million

567 SQM 48 Million

686 SQM 58.3 Million

630 SQM 53 Million

500 SQM 43.5 Million

423 SQM 35.9 Million

425 SQM 36.1 Million

0794277000