Viwanja vinauzwa Mbezi Beach Salasala, Dar Es Salaam (500 sqm)

Aina
Kiwanja
Ukubwa
500 SQM
Huduma na Sifa
Maelezo
ViWANJA VIPO VINNE ILA MTEJA AKITA VYOTE SAWA
PIA TUNAUZA AKITAKA TUMKATIE KWA SQM PIA NI SAWA
AMBAYO SQM 1 NI ELFU 90
TUNAKATA KUNZIA SQM 500
MILIONI 45
MTEJA UKITA VYOTE PIA SAWA TUNAKUZIA KARIBU SANA
MAONGEZI YAPO KIDUCHUUU…🤭🤭
Hii ni offer ya mda Mafupi karibuni sana
Viwanja vyote vipo kwenye fensi🇹🇿✅
KWA MAELEZO ZAIDI
Call/whatsp
0692406639
Kuona saiti 30k















