Viwanja vinauzwa Salama, Mara

 media -1
media -1
Salama, Bunda, Mara
5 months ago
Sh. 26,000

Maelezo

๐ŸŒฟ BIG SALE ! ๐ŸŒฟ
โœจUwekezaji kwenye ardhi umekuwa rahisi zaidi! Tumepunguza bei kutoka TSHS 26,000 hadi TSHS 23,000 kwa SQM ili kukupa nafasi ya kutimiza ndoto zako bila presha.

๐Ÿ“ŒHii ni fursa adhimu kwa mfanyakazi, mfanyabiashara, kijana anayeanza maisha, au familia inayotafuta eneo salama la makazi.
Viwanja vyetu vimepimwa, vipo maeneo mazuri na vina hati halaliโ€”hakuna kuhangaika!

Tunatoa malipo kwa miezi 18.
Unachohitaji ni kufanya uamuzi leoโ€ฆ kesho yako itashukuru.

๐Ÿš— Karibu utembelee site ujionee mazingira, ukubwa wa viwanja na fursa zilizopo.
Tupo tayari kukusaidia hatua kwa hatua hadi umiliki wako ukamilike.

๐Ÿ“ Makumbusho, Derm Plaza, Ghorofa ya 11 ๐Ÿ“ž +255 748 303 601

โœจ Uwekezaji bora ni ardhiโ€”haitengenezeki tena! #AndaaMakazi #ArdhiSalama #ViwanjaHalali #TrustSolution #ViwanjaBuyuni #MalipoNafuu