Viwanja vya Pwani vinauzwa Mbutu Beach, Mjimwema, Kigamboni, Dar Es Salaam




Aina
Kiwanja cha Pwani
Huduma na Sifa
Maelezo
Wenzako tayari wanachukua viwanja Mbutu Beach,
wewe bado unasubiri nini?
📍 Mita 700 tu kutoka beach
💰 1 Sqm = 30,000 TZS
✔️ Huduma zote zipo
Hii sio story za vijiweni…
hii ni uwekezaji halisi unaolipa!
Kesho ukiona wengine wanajenga,
usije kusema hukuambiwa 😏
📞 +255 653 988 825
📍 Kigamboni – Mjimwema




















