House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


MASTER BEDROOM INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI 100K
Umbali Dakika 10 Kwa mguu
Fence ipo hakuna parking ya gari
Umeme submeter
Maji yanaflow chooni
Kodi 100,000 Kwa mwezi × 6
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15k
PIGA CM. 0764575774