House for sale at Mawasiliano, Morogoro

 media -1
media -1
Sh. 200,000

*KABLA YA KUANZA UJENZI SOMA HAYA MAELEZO KUHUSU MAKADIRIO UTANISHUKURU BAADAE*

Katika Post hii blchomes tunakuelezea vitu vya kuzingatia unapofanya bajeti yako ya kuanza ujenzi au hatua yoyote ya ujenzi, iwe plumbing, wiring, skimming, tiles n.k ⬇️

Usisahau kusave post hii kwani itakusaidia baadae kwa sababu asilimia kubwa ya kazi za ujenzi zinasimama au kuishiaa katikati kwa kukwama hapa

🔰... *Tiririka nayo*⤵️ ➡️

Ukishapewa makadirio ya ujenzi na fundi wako, kitu ambacho inabidi ukiweke kichwani ni kwamba, shughuli za ujenzi zinakubwa na mabadiriko/changamoto nyingi ambazo zitahitaji hela ya ziada ukitoa ile ya makadirio uliyopewa na fundi.

➡️ Changamoto au mabadiriko hayo ni kama vile hali ya hewa(mvua), mabadiriko ya bei ya materials kukosewa kwa makadirio, kuharibika kwa materials katika usafirishaji au utunzaji n.k.

Mabadiriko au Changamoto hizi zote zitahitaji fedha ambazo mara nyingi hazipo kwenye Makadirio ya awali uliyopewa

➡️ Kipi unatakiwa kufanya ukipewa makadirio na fundi ili usikwame? ⬇️ ➡️

Hakikisha makadirio yoyote unayopewa ongeza asilimia 10 mpaka 20 ya ile hesabu uliyopewa ili kuepukana na hizo changamoto.

➡️ Kwa mfano makadirio ni Tsh 2,000,000/= materials pamoja na ufundi .

Basi kabla ya kuanza ujenzi au hatua yoyote ya kuendeleza jengo basi hakikisha una kiasi kisichopungua Tsh 2,200,000. Hii 200,000 ya ziada itasaidia pale changamoto au mabadiriko ya bei yanapoibuka.

Blchomes tunaendelea kufanya ujenzi kuchora ramani na tunakusaidia kufanya makadirio ya gharama za ujenzi wa nyumba yako au jengo lolote

Umeipenda post hii?

Basi like na kushare kwa marafiki ambao unahisi itawasaidia.

Kwa mawasiliano zaidi tupigie au WhatsApp number 0742892195

#ujenzinafuu#ujenziwqnyumba#ujenzighorofa#building#siteprogress#kujenga#3bedrooms#4bedrooms#3bedrooms#ujenzinafuu#ujenzidaressalaam#nyumbazakisasa#nyumbanzurisinza

real estate company _ Tanzania
blchomes_
real estate company _ Tanzania

Similar items by location

4 Bedrooms House for sale at Mawasiliano, Morogoro

Sh. 70,000,000

NYUMBA INAUZWA ILAZO NORTH BLOCK B JIJINI DODOMAIna vyumba vinneMaster bedroom Sebule, Dinning Jiko,...

2 Bedrooms House for Rent at Mawasiliano, Morogoro

Sh. 30,000

NYUMBA IYO @Inapangishwa @Bei 500.000 kwa mwez‘@Malipo miez 6 na dalali 7@Ni nyumba ya vyumba 2 sebu...

3 Bedrooms House for sale at Mawasiliano, Morogoro

Sh. 2,500,000

STAND ALONE@Inapangishwa @Bei milioni 2.500.000 kwa mwez@Kwa kuishi / ofisi poa@Malipo miez 6 na dal...

Plot for sale at Mawasiliano, Morogoro

Sh. 95,000,000

KIWANJA ITEGA KWA BEI NZURI______MAHALI-ITEGA(BLOCK S______UKUBWA WA KIWANJA-2380SQM_______DOCUMENT-...

3 Bedrooms House for sale at Mawasiliano, Morogoro

Sh. 320,000,000

📍NYUMBA NZURI SANA 🏘️🏡 INAUZWA: IPO UNUNIO BEACH 🏖️ (DAR ES SALAAM)INA VYUMBA VITATU SEBLE DININ...

Plot for sale at Mawasiliano, Morogoro

Sh. 55,000,000

KIWANJA KINAUZWA ITEGA BLOCK FF______MAHALI-ITEGA______UKUBWA WA KIWANJA-1386SQM_______DOCUMENT-HATI...

Plot for sale at Mawasiliano, Morogoro

Sh. 75,000,000

KIWANJA KINA FENSI PANDE MBILI KINAUZWA KISASA JIJINI DODOMAEneo ukubwa ni 1,040 sq.mKina FENSI pand...

Plot for sale at Mawasiliano, Morogoro

Sh. 55,000,000

KIWANJA KINAUZWA ITEGA BLOCK FF______MAHALI-ITEGA______UKUBWA WA KIWANJA-1386SQM_______DOCUMENT-HATI...

House/Apartment for Rent at Mawasiliano, Morogoro

Sh. 200,000

INAPANGISHWA APARTMENT CLASSIC MAHALI: IRINGA ROAD (SGR)-----------------------------MUUNDO WA NYUMB...

4 Bedrooms House for sale at Mawasiliano, Morogoro

Sh. 49,000,000

NYUMBA INAUZWA MAHUNGU BLOCK D JIJINI DODOMAIna vyumba vinne Master bedroom tatuSebule, DinningJiko,...

House for sale at Mawasiliano, Morogoro

Sh. 350,000,000

#NYUMBA_INAUZWA NZURI SANA O719969102 IKO SEHEMU NZURI YENYE+UTULIVU______________________________MA...

3 Bedrooms House for Rent at Mawasiliano, Morogoro

Sh. 750,000

INAPANGISHWA STAND ALONE HOUSEMAHALI: CHIDACHI-----------------------------MUUNDO WA NYUMBA⏭️VYUMBA ...

Plot for sale at Mawasiliano, Morogoro

Sh. 4,000,000

KIWANJA KINAUZWA UDOM JIRANI NA BENJAMIN MKAPA JIJINI DODOMAEneo ukubwa ni 626 sq.mKipo kilometer mo...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mawasiliano, Morogoro

Sh. 300,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6 🌟APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO #VYUM...

House/Apartment for Rent at Mawasiliano, Morogoro
  • Project

Sh. 750,000

#REPOST DALALIMBEZIBEACH_SEMBAINAPANGISHWA# APARTMENT CHUMBA _SEBLE _JIKO_ CHOO IKO-DAR-ES-SALAAM Tz...

Plot for sale at Mawasiliano, Morogoro

Sh. 67,000,000

KIWANJA KINAUZWA MLIMWA C MTAA WA WAZIRI MKUU______MAHALI-MLIMWA C (MLIMWA C YA MWANZO INAYOPENDWA N...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mawasiliano, Morogoro

Sh. 500,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 20/08/2025 AU MA...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mawasiliano, Morogoro

Sh. 500,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 20/08/2025 AU MA...

1 Bedrooms House for sale at Mawasiliano, Morogoro

Sh. 80,000,000

#MAHAL_KIBAHA_KWA_MATHIASUMBAL KUTOKA MOROGORO ROAD NI DK 4 KWA GAR/PIKIPIKIHAT MILIKI IPO MKONONIVY...

Plot for sale at Mawasiliano, Morogoro

Sh. 23,000,000

KIWANJA CHA TATU LAMI KINAUZWA CHIDACHI JIJINI DODOMAEneo ukubwa ni 547 sq.mCha tatu LAMIKina fensi ...