Nyumba inauzwa Mawasiliano, Morogoro

 media -1
media -1
Sh. 200,000

*KABLA YA KUANZA UJENZI SOMA HAYA MAELEZO KUHUSU MAKADIRIO UTANISHUKURU BAADAE*

Katika Post hii blchomes tunakuelezea vitu vya kuzingatia unapofanya bajeti yako ya kuanza ujenzi au hatua yoyote ya ujenzi, iwe plumbing, wiring, skimming, tiles n.k ⬇️

Usisahau kusave post hii kwani itakusaidia baadae kwa sababu asilimia kubwa ya kazi za ujenzi zinasimama au kuishiaa katikati kwa kukwama hapa

🔰... *Tiririka nayo*⤵️ ➡️

Ukishapewa makadirio ya ujenzi na fundi wako, kitu ambacho inabidi ukiweke kichwani ni kwamba, shughuli za ujenzi zinakubwa na mabadiriko/changamoto nyingi ambazo zitahitaji hela ya ziada ukitoa ile ya makadirio uliyopewa na fundi.

➡️ Changamoto au mabadiriko hayo ni kama vile hali ya hewa(mvua), mabadiriko ya bei ya materials kukosewa kwa makadirio, kuharibika kwa materials katika usafirishaji au utunzaji n.k.

Mabadiriko au Changamoto hizi zote zitahitaji fedha ambazo mara nyingi hazipo kwenye Makadirio ya awali uliyopewa

➡️ Kipi unatakiwa kufanya ukipewa makadirio na fundi ili usikwame? ⬇️ ➡️

Hakikisha makadirio yoyote unayopewa ongeza asilimia 10 mpaka 20 ya ile hesabu uliyopewa ili kuepukana na hizo changamoto.

➡️ Kwa mfano makadirio ni Tsh 2,000,000/= materials pamoja na ufundi .

Basi kabla ya kuanza ujenzi au hatua yoyote ya kuendeleza jengo basi hakikisha una kiasi kisichopungua Tsh 2,200,000. Hii 200,000 ya ziada itasaidia pale changamoto au mabadiriko ya bei yanapoibuka.

Blchomes tunaendelea kufanya ujenzi kuchora ramani na tunakusaidia kufanya makadirio ya gharama za ujenzi wa nyumba yako au jengo lolote

Umeipenda post hii?

Basi like na kushare kwa marafiki ambao unahisi itawasaidia.

Kwa mawasiliano zaidi tupigie au WhatsApp number 0742892195

#ujenzinafuu#ujenziwqnyumba#ujenzighorofa#building#siteprogress#kujenga#3bedrooms#4bedrooms#3bedrooms#ujenzinafuu#ujenzidaressalaam#nyumbazakisasa#nyumbanzurisinza

real estate company _ Tanzania
blchomes_
real estate company _ Tanzania

Similar items by location

Nyumba inapangishwa Mawasiliano, Morogoro

Sh. 300,000

Commercial property 4 Rent....Location mawasiliano stand It look at Tarmac ..Flow 1 .........💋Pana...

Nyumba inapangishwa Mawasiliano, Morogoro

Sh. 300,000

Commercial property 4 Rent....Location mawasiliano stand It look at Tarmac ..Flow 1 .........💋Pana...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mawasiliano, Morogoro

Sh. 550,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 550,000×6📌 ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 31/05/2025 KUONA N...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mawasiliano, Morogoro

Sh. 550,000

NYUMBA KUBWA YA KISASA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI NI 550,000/= X 6 📌 ITAK...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mawasiliano, Morogoro

Sh. 20,000

APARTMENT NZURI NA YA KISASA INAPANGISHWA ZIPO 3 KWENYE FENSI MOJABei:300,000/ Per MonthPayment Term...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mawasiliano, Morogoro

Sh. 20,000

APARTMENT NZURI NA YA KISASA INAPANGISHWA ZIPO 3 KWENYE FENSI MOJABei:300,000/ Per MonthPayment Term...

Viwanja vinauzwa Mawasiliano, Morogoro
  • By Installment
  • Project

Sh. 67,000

Rasilimali ya kudumu ni Ardhi na hupanda thamani kila kukicha, na sisi tunakuletea kwa unafuu zaidi�...

Kiwanja kinauzwa Mawasiliano, Morogoro

Sh. 40,000,000

KIWANJA KINA FENSI PANDE MBILI KINAUZWA KISASA JIJINI DODOMAEneo ukubwa ni 600 sq.mKina fensi pande...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inauzwa Mawasiliano, Morogoro

Sh. 400,000,000

Hizi apartment zinauzwa juu na chini zina wapangaji kiwanja sqmts 600 kila apartment ina 2bedroom 1...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mawasiliano, Morogoro

Sh. 400,000

APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA BEI NI 400,000/= X 6 🌟 APARTMENT HII ...

Nyumba/Apartment inapangishwa Mawasiliano, Morogoro

Sh. 170,000

APARTMENT NZURI NA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA BEI NI 170,000/= X 6 🌟 APARTMENT HII INA SIF...

Frame inapangishwa Mawasiliano, Morogoro

Sh. 300,000

FREM @Inapangishwa @‘Bei 300,000 kwa mwez@Malipo miez 6 na dalali 7@Garama ya kupelekwa ni sh 30000...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mawasiliano, Morogoro

Sh. 300,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6 🏠APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO #INAV...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mawasiliano, Morogoro

Sh. 300,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6 🏠APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO #INAV...

Nyumba inauzwa Mawasiliano, Morogoro

Sh. 145,000,000

NYUMBA INAUZWA BEI MILLION 145mawasiliano.0657 77 77 71 WhatsApp&calls0747 25 77 71 normal calls onl...

Viwanja vinauzwa Mawasiliano, Morogoro
  • Project

Sh. 14,000,000

VIWANJA VIZURI SANA VINAUZWA_______MAHALI-MAHUNGU (SINGIDA-MWANZA ROAD)_______UMBALI TOKA TOWN-8KM__...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inauzwa Mawasiliano, Morogoro

Sh. 60,000

Hizi apartment zinauzwa juu na chini zinawapangaji kiwanja sqmts 600 kila apartment 2bedroom 1self n...

Nyumba inauzwa Mawasiliano, Morogoro

Sh. 95,000,000

#Repost dalali_ngosha_dodoma——👉NYUMBA INAUZWA- ➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖👉MAHALI- DIDOMA MAHUNGU KARIBU NA LAMI➖➖...