1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER DK 12
KUTOKA STEND STOP OVER PIKIPIKI ELF 1
KUPELEKWA KUONA ELF 20
UKIIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
_________________
nyumba mpya
Ina vyumba viwilli vya kulala chumba kimoja ni master bedroom Sebule kubwa na jiko ndani Inajitegemea umeme NA maji nyumba hii ipo ndani ya fensi Mazingira mazuri sana
KODI YA PANGO
_______________
kwa mwezi ni laki nne/=
(400,000,)
X6
CALL
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI



















